picha

JAVASCRIPT - somo la 19: Jinsi ya kutumia loop kwenye javascript

Katika somo hilibtutakwenda kujifunza kuhusu loop. Katika programming tunaposema loop tunamaanisha ile hali ya program ku excute code zaidi na zaidi. Tofauti na kurudia rudia kuandika statement moja kwa ajili ya kupata matokeoa hayohayo basi unapotumia lo

Katika somo hili na linalofuata tutakwenda kutumia habari hii.

Umepewa kazi ya kuandika orodha ya maneno ya kiingereza na tafsiri yake kwa ajili ya kuandaa program ya kamusi. Sasa unatakiwa uonyeshe orodha ya maneno ambayo tayari umekusanya.

 

Angalia mfano hu:

Kwa kutumia safunzo yaliokwisha tangulia huko wali, nitaweka orodha ya maneno y bkiingereza kwenye array kisha nita display orodha hiyo kwa kuchanganya na maneno ya kiswahili. 


 

Sasa tuendelee na Somo letu. Hebu tuone jinsi ya kuonyesha orodha yetu kulingana na kile ambacho tulisha jifunza.

<html>

  <head>

    <title>Mafunzo ya javascript</title>

  </head>

  <body>

<script>

  var words = ['mama - mother', 'dada - sister', 'kakav- brother', 'mjomb - uncle'];

  var show = "";

    show = show+ words[0]+'<br>';

    show = show+ words[1]+'<br>';

    show = show+ words[2]+'<br>';

    show = show+ words[3]+'<br>';

  

  document.write(show);

</script>

  </body>

</html>

 

Sasa hapo utaona tumerudia rudia statement moja ya ku display neno la kiingereza nankiswahili. Sasa kwa kutumia loop jatutakuwa tena na haja ya kurudia kuandika statement moja na badala yake tutaachia program irudie tena ku excute code.

 

Aina za loop

Kuan aina kuu 2 za loop ambazo ni 

  1. for loop
  2. for Of loop
  3. while loop

Poa kuna mgawanyiko zaidi tutakwenda kuuona tutakwpokuwa tunajifunza zaidi. Katika somo hili tutakwenda kujifunza luhusu for loop tu.

 

For loop;

Katika loop hii code zona excute kwa idadi maalumu unayoitaka. Kwa mfano list yetu hapo ina item 4, hivyo code zetu zita run mara 4. Unaweza kutumia 4 ama kutumia object length tulishasoma kwenye array jinsi ya kuoata array length. Hii itakupa idadi ya kuwa xode zitavexcute mara ngapi. Tunatumia hii ili kuhakikisha ina excute code kwa idadi maalumu ambayo inafanana sawasawa na item.

 

Lakini kama utaweka 4vits okey unaweza kuweka lia zaidi ya nne ama chini ya nne.

 

Kanuni ya kuandika for loop

Kwa nza utaanza na neno for likifuatiwa na mabano () ndni ha mabano kutakaa condition. Kisha itafuataiwa na na mabano {} ambapo ndani yake kutakaa statement ambayo itakuwa excuted kulingana na idani iliyowekwa.

 

Jinsi ya kuandika condition hapa kina utofauti mkubwa na tulivyojifunza huko awali. Katika for loop condition omegawanyika katika sehemu kuu tatu ambazo ni:-

  1. Initial expression yaani mwanzo wa loop. Hapa tutaangalia je loop yako unatakanianzie kwenye item ya ngapi. 
  2. condition Hapa sasa ndipo utaweka masharti yako, ambayo ikiwa yatafikiwa code zita excute na yasipofikiwa code zita stop
  3. Increment expression sehemu hii ndio ambayo inaangalia je code zinatakiwa kubexcuye mara ngapi. Lengo hili linafikiwa kwa kutumia increment (++)


 

Jambo la kuzingatia ni kutenganisha hizo sehemu tatu kwa nukta oacha semicolon ambazo ni (;). Kanuni hii itaandikwa hivi:-

for(initial expression; condition; increment){

statement

}

 

Katika initial expression utatumia variable kwa ajili ya kuhifadhi namba ambayo loop itaanzia. for(var i = 0;

 

Katika condition expression utatumia variable uliotengeneza pamoja na kuweka limit ya mara ngapi code zi excute. Unaweza kutumia i < 4; ama inaweza kuwa hivi i < array.length; neno array hapo nimelitumia kumaanisha object ya array.

 

Katika increment hapo tutatumia variable yetu inayobeba mwanzo wa loop kisha tutaiwekea increment (++). Mfano i++

 

Code nzima

for(var i =0; i<array.length; i++){

statement.

}

 

Angalia code hizi ambazo zinafanya kazi sawa na mfano wa hapo juu mwanzoni kabisa.

 

<html>

  <head>

    <title>Mafunzo ya javascript</title>

  </head>

  <body>

<script>

  var words = ['mama - mother', 'dada - sister', 'kaka- brother', 'mjomb - uncle'];

  var show = "";

for(var i =0; i < words.length; i++) {

         show = show + words[i] + "<br>";

      }

    document.write(show);

</script>

  </body>

</html>

 

Sasa hapo utaona tumetumia array length kwa a...

Ingia sasa ili uweze kusoma makala hii yote.

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu image Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: JavaScript Main: Masomo File: Download PDF Views 927

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Bongolite - Game zone - Play free game     👉3 web hosting     👉4 Kitau cha Fiqh     👉5 Kitabu cha Afya     👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    

Post zinazofanana:

JAVASCRIPT - somo la 7: Jinsi ya kutumia logical operator kwenye javascript

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia logical operator kwenye javascript. Katika somo hili tutakwenda kutumia mahesabu.

Soma Zaidi...
JAVASCRIPT - somo la 2: Jisi ya ku print output ya code za javascript.

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ambavyo utaweza ku display matokeo ya code za javascript.

Soma Zaidi...
JAVASCRIPT - somo la 16: Jinsi ya kutumia html form kwenye javascript

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ku dili na html form kwenye javascript. Javascript inaweza kufanya mengi kwenye html form.

Soma Zaidi...
JAVASCRIPT - somo la 23: Jinsi ya kutengeneza calculator yaani kikokotoo cha hesabu kwa kutumia javascript

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ambavyo utaweza kutumia javascript kutengeneza kikokotoo cha hesabu yaani calculator

Soma Zaidi...
Game 2: Jinsi ya kutengeneza tic toc game ya single player kwa kutumia javascript, html na css

Katika post hii utakwenda kujifunza kutengeneza game ya tic toc ya mchezaji mmoja na kompyuta yaani single player

Soma Zaidi...
JAVASCRIPT - somo la 9: Jinsi ya kuandika function kwenye javascript

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuandika function kwenye javascript. Utajifunz apia namna ya kuitumia function hiyo

Soma Zaidi...