Katika somo hili tutakwenda kujifunza khusu while loop na do while loop.
while loop hii ni aina ya loop ambapo code zitaendelea ku excute bila ya kikomo mpaka masharti ulioweka yatimie.
Tofauti na for loop, while loop hutumika sana kwenye maeneo haya:-
1. Hujui code zako zita excute mara ngapi mpaka kufikia matokeo.
Mfano ina program ya kuandika maudhui kwenye mafaili. Lengo lako unataka iandike MB 5, lakini hujui hizo code zita excute mara ngali mpaka ufikie MB 5. Hapa for loop haiwezi kufanya kazi.tutatumia while loop.
2. Una excute program yako kutokana na input za mtumiaji. Hapa kwa kuwa hatujui onput za huyo mtumiaji wako, hivyo tutatumia while loop.
Jambo lingine muhimu kulijuwa ni kuwa kwenye shule loop statement huweka mahala popote kwenye hiyo block.
Jinsi ya kuandika while loop.
Kwanza utaanza na initial ambapo inahitaji code zako zianzie ku excute.
while(condition){
Statement
}
Kuandika while loop ni rahisi sana yenyewe inahitaji condition na statement tu. Angalia mfano hapo chini:-
<html>
<head>
<title>Mafunzo ya javascript</title>
</head>
<body>
<script>
var a =0;
var watoto = ['juma', 'hassan', 'john', 'paul', 'rashidi', 'daudi', 'mwajuma'];
while(a < watoto.length){
document.write(watoto[a]+'<br>');
a++;
}
</script>
</body>
</html>
<html>
<head>
<title>Mafunzo ya javascript</title>
</head>
<body>
<script>
var a =0;
var namba = prompt();
while(a < namba){
document.write('Bongoclass'+'<br>');
a++;
}
</script>
</body>
</html>
...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuandika variable. Hapa utajifunza sheria zinazohusu variable katika javascript
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kupangilia muonekano wa maandishi (text) wakati wa ku out put matokeo ya code
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza baadhi ya function maaumu zinazotumika kwenye string yaani string method.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuandika function kwenye javascript. Utajifunz apia namna ya kuitumia function hiyo
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia logical operator kwenye javascript. Katika somo hili tutakwenda kutumia mahesabu.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ambavyo utaweza kutumia javascript kutengeneza kikokotoo cha hesabu yaani calculator
Soma Zaidi...Ksomo hili litakwenda kukufundisha kuhusu object kwenye javascript, kazi zake na sheria zake katika kuiandika.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu ku set time. Yaani tutaweka muda ambao code zinatakiwa ndio zilete matokeo.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza sheria ama syntax za kuandika javascript. Hii itakuwezesha kuelwa zaidi code za javascript.
Soma Zaidi...Kwa kutumia mfano huu na iliyotangulia unaweza kuweka masharti kadiri uwezavyo. Tukutane somo linalofuata tutajifunza kuhusu switch statement.
Soma Zaidi...