Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutumia forOfLoop. Hii ni aina ya loop ambayo yenyewe inahusisha item zote kwenye array.
Jinsi ya kuiandika
Kwanza utaanza na keyword for kisha itafuatiwa na mabano() ndani ya mabano utaweka contition zako. Condition ina sehemu kuu mbili. Kwanza ni value yaani thamani ya hiyo taarifa yako. Kisha ni array yako. Inaweza kuwa katika variable ama kawaida. Kisha itafuwata mabano ya {} ndani yake utaweka statement ambayo inatakiwa i excute.
for(value Of array){
statement
}
Hapo neno value litasimama kumaanisha taarifa zetu ambazo tutakwenda kuzisoma. Unaweza sema ni variable ambayo itawakilisha data ambazo tunakwenda kuzisoma. Na neno array litawakilisha taarifa ambazo zinachakatwa.
<html>
<head>
<title>Mafunzo ya javascript</title>
</head>
<body>
<script>
var watoto = ['juma', 'hassan', 'john', 'paul', 'rashidi&">...
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowKatika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ambavyo utaweza kutumia javascript kutengeneza kikokotoo cha hesabu yaani calculator
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuandika variable. Hapa utajifunza sheria zinazohusu variable katika javascript
Soma Zaidi...Ksomo hili litakwenda kukufundisha kuhusu object kwenye javascript, kazi zake na sheria zake katika kuiandika.
Soma Zaidi...Kwa kutumia mfano huu na iliyotangulia unaweza kuweka masharti kadiri uwezavyo. Tukutane somo linalofuata tutajifunza kuhusu switch statement.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kuhusu matendo ya hesabu ambayo ni kugawanya, kujumlisha, kuzidisha na kutoa
Soma Zaidi...Hii ni game ambayo utafikiria namba, ambayo inatakiwa iwe sawa na namba ambayo game imeiweka.
Soma Zaidi...Katika project hii utakwenda kufunza jinsi utakavyoweza kutengeneza keyboard ya online kwa kutumia javascript
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza baadhi ya function maaumu zinazotumika kwenye string yaani string method.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu array pamoja na method zinazohusiana na array. Pia nitakujuza tena kuhusu array ni nini. Utajifunza pia jinsi ya kutengeneza array.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunz kuhusu baadhi ya function ambazo hutumika kwenye namba
Soma Zaidi...