UGONJWA WA KISEYEYE NA DALILI ZAKE


Ugonjwa wa kiseyeye (scurvy)
Ugonjwa wa kiseyeye husababishwa na upungufu wa vitamini C na kutibiwa kwa kupata vitamini C aidha kwa kutumia vyakula ama vidonge vya vitamini C. dalili za ugonjwa huu huanza kutokea mwezi mmoja toka upungufu wa vitamini C uanze kutokea mwilini.


Dalili za ugonjwa wa kiseyeye:
1.Kushindwa kuhema vizuri
2.Maumivu ya mifupa
3.Mafinzi kutoka damu
4.Uponaji ulio hafifu wa vidonda
5.Homa
6.Mwili kukosa nguvu
7.Maumivu ya misuli na viungio
8.Kifo


Ugonjwa wa kiseyeye ni kama maradhi mengine ya upungufu wa vitamini. Ugonjwa huu unatibika vizuri bila ya shida yeyote. Mgonjwa awahi kufika kituoo cha afya na aanze matibabu mapema.