Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya athari zinazoweza kutokea endapo minyoo haitotibiwa
ATHARI ZA KUTOKUTIBU MINYOO
Kukaa na minyoo na kutoitibu kwa muda mrefu kunaweza kusababisha madhara mengi hususani kwenye ini na maeneo mengine ya mfumo wa kumeng’enya chakula. Kama ulivyoona kwenye dalili za minyoo, hivyo minyoo ikiachwa bila ya kutibia miongoni mwa athari zake ni kuendelea kwa dalili zile na kuwa ni ugunjwa. Miongoni mwa athari hizo ni:-
kupata magonjwa yanayohusiana na ini pamoja na nyongo kama necrosis, gallstone (kuwa na vijiwe kwenye mrija wa nyongo), kuziba kwa mrija wa nyongo, biliar colic, cholecystitis, urticaria
Kutapika na kutapika damu
Maumivu ya tumbo
Kupoteza damu
Mwili kukosa virutubisho kutoka kwenye chakula
Kichefuchefu
Kupunguwa uzito na kukonda
Ukuaji hafifu kwa watoto
Matatizo ya akili
Kuharisha n.k
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukuletea baadhi ya maradhi yanayosababishwa na hali za maisha
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa za kupunguza maumivu na kazi zake, ni dawa ambazo upunguza maumivu kwenye mwili wa binadamu.
Soma Zaidi...Makala hii itakwenda kukupa elimu juu ya vidonda vya tumbo, nini hasa chanzo chake, vipi vinatokea ni zipi dalili zake, ni zipi njia za kujilinda dhidi ya vidonda vya tumbo. Pia tutaangalia matibabu ya kutibi vidonda vya tumbo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu mbalimbali,za miguu kufa ganzi,ni tatizo ambalo uwakumba watu wengi na walio wengi hawafahamu kabisa ni sababu zipi ambazo uleta tatizo hili.
Soma Zaidi...Hivi badovunasumbuliwa na fangasi kwenye mdomo ama ulimi. Ni dawa gani umeshatumia bila mafanikio?.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi namna ya kuangalia sehemu yenye maumivu, hili kugundua mahali mtu anaumia ushirikiano mkubwa unahitajika kati ya mgonjwa na mhudumu.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa Bawasili, ni Dalili ambazo ujitokeza kwa mgonjwa ambaye ana ugonjwa wa Bawasili.
Soma Zaidi...