DALILI ZA UPUNGUFU WA VITAMINI C


Makala hii inakwenda kukuletea dalili za upungufu wa vitamini c mwilini. Dalili hizo ni kama:-1.Kupata ugonjwa wa anaemia (upungufu wa oksijeni mwilini)

2.Kutokwa na damu kwenye mafinzi

3.Mwili kushindwa kupambana na maambukizo ya mara kwa mara

4.Kuchelewa kupona kwa vidonda na majeraha

5.Kukauka na kukatika kwa nywele

6.Kupata majeraha na michubuko kwa urahisi

7.Kuvimba kwa mafinzi

8.Kutokwa na damu za pua

9.Kuongezeka kwa uzito

10.Ngozi kukauka na kupauka ama kufujaa kwa ngozi

11.Kuvimba kwa viungio na maumivu ya viungio

12.Udhaifu wa gamba gumu la meno.