Posti hii inahusu zaidi sababu za kuwa na fangasi ukeni, ni vitu ambavyo usababisha fangasi ukeni kama ifuayavyo.
Sababu za maambukizi ya fangasi ukeni
1.Matumizi ya antibiotics
Kwenye mwili wa binadamu Kuna bakteria ambao ni wazuri na utukinga na maradhi lakini tujue kuwa kazi ya antibiotics ni kuwa bakteria ambao usababisha maambukizi pengine antibiotics uua na bakteria ambaye ulienda mwili wa binadamu na kusababisha madhara ya kuingia kwa fangasi ukeni.
2.Matazizo ya homone
Wakati mwingine homoni ubadilika katika kufanya kazi yake hasa kwenye via vya uzazi na kusababisha madhara ya kubadili pH ya kwenye uke hali ya kubadilika kwa pH kwenye uke usababisha maambukizi na fangasi ushambulia uke.
3.Kufanya mapenzi na mtu mwenye fangasi,
Hii utokea pale mtu mwenye fangasi anapofanya mapenzi na mtu asiye na fangasi,kwa hiyo fangasi kutoka kwa mtu mwingine na kwenda kwa mwingine na wasipotibiwa wanaweza kuambukizwa na watu wengine.
4. Kushuka kwa kinga ya mwili
Kwa kawaida tunajua kuwa kinga ya mwili ikishuka kila ugonjwa unyemelea kwa hiyo kinga ya mwili ikishuka usababisha maambukizi kwenye uke ambapo fangasi uanza kuamka na kushambuliwa sehemu za Siri na kuleta madhara makubwa kwa watu wenye upungufu wa kinga mwilini.
5. Kutumia sana vyakula vyenye sukari
Vyakula vyenye sukari kama vile, pipi, chocolate, sukari nyingi kwenye vinywaji, soda navyakula vyote vyenye sukari vikitumiwa kwa kiwango kikubwa usababisha mwili wote kujaa sukari na wadudu uenea sana kwenye eneo lile hasa fangasi uenea kwenye uke
6. Kuosha sana sehemu za Siri
Kitendo Cha kuosha sana sehemu za Siri hasa kwa kutumia sabuni zenye kemikali kali usababisha kuuua bakteria wazuri na kubakiza hawa wanaosababisha magonjwa na wanakuwa na kuongezeka kwa hiyo maambukizi yanakuwa mengi zaidi.kwa hiyo tunapaswa hi kuacha kutumia vipodozi vikali kuoshea sehemu za Siri.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowJe umeipenda post hii ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula topetope
Soma Zaidi...Hizi ni aina za vyakula ambavyo husaidia katika kuongeza damu kwa wajawazito na watoto.
Soma Zaidi...Kula uyoga kwa faida kubwa, ja unazijuwa faida za kula uyoga kiafya
Soma Zaidi...Kama tulivyosema hapo juu kuwa afya ni kuwa mzima kimwili na kiakili.
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukutajia mahonjwa matano ambayo hutokana na utapia mlo.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vyenye protini kwa wingi
Soma Zaidi...Makala hii inakwenda kukueleza faida za kula maboga, na mbegu zake kwa afya yako
Soma Zaidi...