MATUNDA YENYE VITAMINI C KWA WINGIMakala hii inakwenda kukuletea orodha ya matunda yenye vitamini C kwa wingi. Vitamini C vinajulikana kwa umuhimu wake kwenye miili yetu hasa katika kuipa nguvu miili yetu katika kupambana na maradhi. Kwa wingi vitamini C tunaweza kuvipata katika matunda yafuatayo:-


1.Pilipili nyekundu
2.Machungwa
3.Madanzi
4.Malimao na ndimu
5.Pera (mapera)
6.Pilipili za njano
7.Matunda aina ya kiwi
8.Mapapai
9.Nanasi
10.Maembe
11.Tikiti maji
12.Nyanya
13.Pensheni
14.Zabibu
15.Epo