Faida za kiafya za kula Tangawizi

Faida za kiafya za Tangawizi
- huondoa sumu za vyakula na kemikali mwilini
- Huondoa kichefuchefu hasa kwa kichefuchefu cha mimba
- Hupunguza maumivu ya viungio na misuli
- Hupunguza maambukizi ya mara kwa mara
- Huimarisha afya ya moyo
- Hushusha kiwango cha sukari kwenye damu
- Hutibu tatizo la kukosa hamu ya kula na kukosa choo
- Hupunguza maumivu ya tumbo la chango kwa wakinamama
- Hushusha kiwango cha cholesterol
- Huzuia saratani
- Huimarisha afya ya ubongo hasa kwa wazee
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
Share follows: 0 |
Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani 👉2 ai web app 👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉5 Kitau cha Fiqh 👉6 kitabu cha Simulizi
👉1 Madrasa kiganjani 👉2 ai web app 👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉5 Kitau cha Fiqh 👉6 kitabu cha Simulizi
Post zinazofanana:
Hasara za kitunguu swaumu wakati wa ujauzito
Posti hii inahusu zaidi hasara za kitunguu swaumu wakati wa ujauzito.
Soma Zaidi...Vyakula vya vitamin A
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za vyakula vya vitamin A
Soma Zaidi...VYANZO VYA VYAKULA VYA FATI, PROTINO NA WANGA NA FAIDA ZAKE
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Naombakujua kujua Kama huu uyoga unasaidia kansa Kama kwawazee
Mpaka sasa hakuna dawa ya kuponyesha saratani wala kinga ya saratani. Hata hivyo vipo vyakula ambavyo vinakadiriwa kuwa hupunguza hatari ya kuweza kupata saratani. Je unadhani uyoga ni moja ya vyakula hivyo?
Soma Zaidi...Vyakula Vya vitamini B, kazi za Vitamini B na dalili za Upungufu wa Vitamini B mwilini
hapa Tutakwenda kuona Vyakula Vya vitamini B, kazi za Vitamini B na dalili za Upungufu wa Vitamini B mwilini
Soma Zaidi...