Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kungumanga/nutmeg
. Faida za kiafya za kungumanga (nutmeg)
? Hizi huliwa mbegu zake, na hukamuliwa mafuta
1. kuku zina virutubisho vingi na mafuta, madini na fat
2. Husaidia katika kuondoa ama kupunguza maumivu
3. Kuboresha upataji wa choo kwa urahisi
4. Huboresha afya ya ubongo na kukuza ufahamu
5. Husaidia katika kuondoa sumu mwilini
6. Huboresha afya ya ngozi
7. Huboresha mzunguko wa damu
8. Hulinda mwili dhidi ya maradhi kama leukemia
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu namna au njia za kuandaa mdalasini kwa ajili ya tiba ya homoni imbalance kwa wanawake.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi vyakula anavyopaswa kutumia mwenye matatizo ya uti wa mgongo, ni vyakula ambavyo upunguza makali kwenye uti wa Mgongo.
Soma Zaidi...Zitambue aina zote za vyakule na ufanye maamuzi yaliyo kuwa sahihi katika uandaaji wa chakula chako
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kitunguu thaumu
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula tango
Soma Zaidi...Unaijuwa maana ya virutubisho vya protini, na kazi zake mwilini. Soma zaidi hapa
Soma Zaidi...