
Faida za kiafya za kula Tango
- tango lina virutubisho kama fati, protini, pia lina vitamini K na C pia kuna madini ya manganese na manganessium
- Huondosha kemikali na sumu ndani ya vyakula
- Hsaidia kuipa maji miili yetu
- Husaidia kupunguza uzito mwilini
- Husaidia kushusha sukari mwilini
- Husaidia katika kupata choo vizuri