Kazi za tunda la papai katika kurekebisha homoni imbalance

Posti hii inahusu zaidi kazi za tunda la mpapai katika kurekebisha homoni.ni tunda ambalo ufanya kazi yake kwa sababu ya kuwepo kwa virutubisho muhimu ndani ya tunda hili.

Kazi za tunda la mpapai katika kurekebisha homoni imbalance.

1. Tunda la mpapai usaidia kurekebisha hedhi .

Ufanya hivyo kwa sababu ya kuwepo virutubisho vya carotene madini ya chuma, kalisiuma na vitamin A.

 

 

 

2. Virutubisho hivyo ufanya kazi mbalimbali kwenye via vya uzazi na kuleta ulaini Fulani ambao usababisha kuwepo kwa wepesi wakati wa hedhi na hivyo kupunguza maumivu wakati wa hedhi.

 

 

 

3. Wakati wa kutumia papai tumia kwa kiasi chake walau nusu papai kwa siku, pamoja na kusaidia kwenye homoni imbalance vile vile usaidia katika mfumo wa umengenyaji.

 

 

 Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/17/Sunday - 03:01:27 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1518


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-