Faida za kula Nyanya
Nyanya ni katika viungio vya mboga, kuna faida kubwa za kiafya katika nyanya
12.Nyanya
Tomato tumezoea huliwa katika mboga, ila pia unaweza kuila bichi ila sio jambo zuri hususan uangalizi unahitajika. Tomato zimetaja na wataalamu wa Afya kuwa na faida nyingi. Tomato huweza kupunguza hatari ya kupata saratani na pia hupunguza athari za kisukari.
Ndani ya tomato kuna aina za carotenoid kama vile: lutein na lycopene. Hizi husaidia katika kuimarisha afya ya macho. Au kupunguza athari zinazotokana na mwanga zisidhuru macho. Tomato ni katika matunda ambayo yauwezo mkubwa wa kulinda mwili dhidi ya maradhi. Pia huweza kuuwa seli za saratani.
Tomato zina vitamini C kwa wingi. Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa vitamini hivi vina kazi kubwa ya kulinda mwili na maradhi mbalimbali. Pia vitamini hivi vinakazi ya kuzuia utengenezwaji wa seli bila ya mpangilio yaani seli za saratani.
Tomato huweza kupunguza presha kwa wale wenye tatizo la kupanda kwa presha yaani shinikizo la damu. Wataalamu wanaeleza kuwa kutumia kudhibiti kiwango cha sodium yaani madini ya sodiam hali hii husaidia katika kurekebisha shinikizi la damu.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 ai web app 👉2 Madrasa kiganjani 👉3 Kitau cha Fiqh 👉4 Kitabu cha Afya 👉5 Dua za Mitume na Manabii 👉6 kitabu cha Simulizi
Post zinazofanana:
Faida za kiafya za kula passion
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula passion
Soma Zaidi...Faida za kula kachumbari
Posti hii inahusu zaidi faida mbalimbali ambazo anaweza kuzipata mtu anayetumia kachumbari, tunajua wazi kwamba kachumbari ni mchanganyiko wa nyanya, vitunguu maji,kabichi,na pilipili kidogo.
Soma Zaidi...Faida za kula kunde, maharage, njegere, mbaazi na njugu mawe
Somo hili linakwenda kukuletea faida za kiafya za kula kunde, maharage, njegere, mbaazi na njugu mawe
Soma Zaidi...Vyakula vya kupambana na saratani
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vya kupambana na saratani
Soma Zaidi...