Faida za kiafya za kula Tende

Faida za kiafya za kula Tende

Faida za kiafya za kula Tende

 

Faida za kiafya za kula tende

  1. tende zina virutubisho kama protini, fati, wanga, sukari, vitamini k, B na A. pia tende zina madini ya chuma, calcium, phosphorus, sodium, magnesium, sulfur na zinc
  2. Tende ni chakula kizuri kinachoweza kukupa nishati ya kutosha na kwa haraka sana
  3. Tende husaidia katika kuborsha na kuimarisha afya ya ubongo, na kutunza kumbukumba
  4. Tende husaidia katika kuondoa tatizo la kukosa choo
  5. Huboresha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
  6. Husaidia katika kupunguza tatizo la ugonjwa wa anaemia (upungufu wa oksijeni mwilini)
  7. Hulinda moyo dhidi ya maradhi
  8. Ni chakula kizuri kwa wasiopata hamu ya kushiriki tendo la ndoa
  9. Husaidia kuboresha afya ya macho hasa katika kusaidia kuona wakati wa usiku
  10. Husaidia katika kutibu tatizo la kuharisha
  11. Huboresha afya ya mifupa
  12. Hulinda mwili dhidi ya saratani
  13. Huongeza uzito

 


‹ Nyuma      › Endelea     ‹ Books         ‹ Apps ››

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Vyakula Main: Post File: Download PDF Views: 3055

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉2 Simulizi za Hadithi Audio     👉3 web hosting     👉4 Bongolite - Game zone - Play free game     👉5 Kitabu cha Afya     👉6 Kitau cha Fiqh    

Post zinazofanana:

Faida za kiafya za kula nyama

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nyama

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za parachichi

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula parachichi

Soma Zaidi...
Vinywaji vyakula salama kwa mwenye Presha ya kupanda

Je umesha wahi kujiuliza kuwa ni vinywaji vipi mwenye presha ya kupanda anafaha kutumia, Unadhani ni maji, mvinyo wa pombe, chai na kahawa. Bila shaka ungependa kujuwa zaidi kuhusu jambo hili. Makala hii ni kwa ajili yako

Soma Zaidi...
Vyakula na ugonjwa wa kisukari

Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya vyakula vimpasavyo mgonjwa wa kisukari

Soma Zaidi...
Chungwa (orange)

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula chungwa/orange

Soma Zaidi...