Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula maini
Faida za kiafya za kula Maini
1. husaidia katika kuipa miili yetu nguvu za kutosha
2. Huboresha afya ya ngozi
3. huimarisha afya ya mifupa
4. Maini ni chakula kizuri kwa afya ya moyo
5. Husaidia kuboresha afya ya ubongo
6. Ni chakula kizuri kwa ukuaji wa misuli
7. Huondosha sumu mwilini
8. Husaidia katika kulinda mwili dhidi ya saratani
9. Huupanguvu mfumo wa kinga
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi faida za majani ya mstafeli,ni majani ambayo utibu magonjwa mbalimbali hasa saratani, kwa hiyo tunapaswa kuyatumia ili tuweze kupata matibabu ya kansa mbalimbali.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vya vitamini na faida zake
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea faida za kiafya za kula kunde, maharage, njegere, mbaazi na njugu mawe
Soma Zaidi...Mlo kamili ni mkusanyiko kuu wa vyakula mbalimba kwa pamoja huimarisha na kuujenga  mwili wa binadamu na wanyama kwa sababu vinaleta virutubishi vyote vinavyohitajika.  Mkusanyiko wa vyakula vinavyotengeneza mlo kamili Kuna majina ya vyakula
Soma Zaidi...Some Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya vitamin K
Soma Zaidi...