Faida za kula nanasi

  1. Nanasi lin virutubisho kama fati, protini, vitamini C, vitamini B6, madini ya chuma, manganeseum na shaba.
  2. Hupunguza misongo ya mawazo (stress)
  3. Nanasi ni rahisi kumeng’enywa tumboni
  4. Hupunguza hatari ya ugonjwa wa saratani
  5. Huboresha na kuimarisha mfumo wa kinga mwilini
  6. Hupunguza maumivu ya viungio
  7. Husaidia kupona haraka baada ya kufanyiwa upasuaji
  8. Ni tunda tamu