Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nazi
Faida za nazi
1. Nazi Ina fati iliyo nzuri kiafya (fatty acid)
2. Husaidia katika kuboresha na kuimarisha afya ya moyo
3. Husaidia katika uunguzwaji wa mafuta mwilini
4. Hupunguza njaa
5. Hupunguza kifafa
6. Huongeza cholesterol nzuri mwilini
7. Hulinda afya ya meno, ngozi na nywele
8. Huboresha afya ya ubongo
9. Hupunguza mafuta mabaya kwenye tumbo (kitambi)
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi juu ya madini ya zinki na faida zake katika mwili wa binadamu,
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula pera
Soma Zaidi...Embe ni katika matunda atamu na yenye faida kubwa kiafya, soma makala hii hadi mwisho
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu aina za vyakula vya fati na umuhimu wake mwilini
Soma Zaidi...Palachichi lina virutubisho vingi na vitamini, kula palachichi uiokoe afya yako
Soma Zaidi...