Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula panzi senene na kumbikumbi
Faida za kiafya za kula panzi, senene, kumbikumbi na mffano wake
? 1. Tunapata protini kwa kiasi kikubwa
? 2. huboresha mfumo wa kinga
? 3. huongeza afya ya meno na mifupa
? 4. hulinda mwili dhidi ya kupata anaemia
? 5. ni tiba nzuri ya maradhi ya puru
? 6. husaidia katika kuboresha na kulinda seli dhidi ya uharibifu
? 7. Ni chakula kizuri kwa afya ya ubongo
? 8. ni chakula kizuri kwa maendeleo ya ukuaji wa mtoto aliyeko tumboni
? 9. huborehsa agya ya ubongo.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi mboga mboga za majani ambazo zinaweza kuweka sukari kwenye kiwango cha kawaida.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ukwaju
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula samaki
Soma Zaidi...