Vitamini C kwa wingi hupatikana kwenye machungwa, maembe, mananasi, limao na ndimu
Kwa kuwa tumeshajuwa sasa maana na historia ya vitamini C hapa nitakwenda kukueleza chanzo cha vitamini C na je ni katika vyakula vipi tunapata vitamini C. kwa ufupi wa somo ni kuwa vitamini C unaweza kuvipata kwenye matunda yenye ladha ya uchachu uchachu (citrus) na matunda vyenye rangi ya njano na kwenye mboga za majani
Vyakula vya vitamini c
1.Pera
2.Pilipili
3.Papai
4.Chungwa
5.Limao/ndimu
6.Zabibu
7.Nanasi
8.Pensheni
9.Kabichi
10.Embe
11.Nyanya
12.Tunguja
13.Palachichi
14.Kitunguu
15.Karoti
16.Epo
Tofauti na mboga za majani na matunda ya uchachu na yenye rangi ya njano pia tunaweza kupata vitamini C kwa kula maini, maziwa na mayai. Pia unaweza kupata vitamini C kwa kumezaa vidonge vya vitamini C.
Umeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ukwaju
Soma Zaidi...Posti hii inakwendavkukufundisha madhara unayoweza kuyapata unapokula chakula cgenye chumvi nyingi
Soma Zaidi...Nguzo za uislamu (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Makala hii inakwenda kukutajia sababau kuu 10 ambazo zinaonyesha umuhimu wa kula matunda kiafya. kwa nini kiafya unashauriwa ule matunda na mboga mara kwa mara?
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea baadhi ya vyakula vyenye madini kwa wingi
Soma Zaidi...