Faida za kiafya za kula Palachichi

Faida za kula palachichi
- palachichi lina virutubisho kama wanga, vitamini C, E, K na B^. pia lina madini ya managesium na potassium.
- Husaidia kuboresha na kuimarisha afya ya moyo
- Huzuia kupata ugonjwa wa mifupa (kuwa dhaifu na kufunjika kwa urahisi)
- Huzuia ama kupunguza kupata ugonjwa wa saratani
- Huboresha afya ya watoto wadogo na ukuaji wao
- Hupunguza misongo ya mawazo
- Huondoa tatizo la kutopata choo kikubwa
- Husaidia kuondoa sumu za vyakula na akemikali mwilini
- Husaidia kuzuia maambukizi ya mara kwa mara ya virusi, bakteria na fangasi
- Husaidia kuzukupata maradhi ya kisukari
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
Share follows: 0 |
Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 ai web app 👉2 Madrasa kiganjani 👉3 Bongolite - Game zone - Play free game 👉4 web hosting 👉5 kitabu cha Simulizi 👉6 Simulizi za Hadithi Audio
👉1 ai web app 👉2 Madrasa kiganjani 👉3 Bongolite - Game zone - Play free game 👉4 web hosting 👉5 kitabu cha Simulizi 👉6 Simulizi za Hadithi Audio
Post zinazofanana:
VYANZO VYA VYAKULA VYA VITAMINI NA FAIDA ZAKE
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Kazi kuu tatu za Vitamini C mwilini
Vitamini C tunaweza kuvipata kwenye matuinda kama machunwa vina kazi kuu tatu ambazo ni hizi hapa
Soma Zaidi...Kitabu cha Afya 02
Kama tulivyosema hapo juu kuwa afya ni kuwa mzima kimwili na kiakili.
Soma Zaidi...Athari za kula vitamin C kupitiliza
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu athari za kula vitamini C kupitiliza
Soma Zaidi...Faida za kula mayai
Posti hii inahusu zaidi faida anazozipata mtu anayekula mayai hasa wakati wa kifua kinywa, tunajua wazi kuwa mayai yana kiwango kikubwa cha protini pamoja na hayo kuna faida nyingi za kutumia mayai hasa wakati wa asubuhi kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Faida za kiafya za kunywa maziwa
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kunywa maziwa
Soma Zaidi...