
Faida za kunywa maziwa
- husaidia kuboresha afya ya ngozi
- Huimarisha afya ya kinywa na meno
- Huboresha afya ya mifupa
- Husaidia katika ukiuari imara wa misuli
- ni kinywaji kizuri kwa kupunguza uzito
- Hupunguza stress na misongo ya mawazo
- Hupunguza maumivu ya chango la wakinamama
- Huondosha kiungulia
- Huboresha mfumo wa kinga
- Hupunguza mashambulizi ya mara kwa mara ya vijidudu vya maradhi