Somo hili litakwenda kukueleza kuhusu faida za chungwa na chenza mwilini
Faida za chungwa na chenza
1. Ni chanzo kizuri cha vitamini C
2. Huboresha na kuimarisha mfumo wa kinga
3. Huboresha presha ya damu
4. Huzuia kuharibika kwa ngozi
5. Hushusha cholesterol mbaya
6. Husaidia kudhibiti kiwango cha sukari
7. Hupunguza hatari ya kupata saratani
8. Huboresha afya ya macho
9. Huzuia tatizo la kufunga kwa choo
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula zaituni
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukieleza kuhusu vyakula vya madini na kazi zake mwilini
Soma Zaidi...Post hii itakwenda kukufundisha faida za kiafya za kula asali
Soma Zaidi...