Faida za kiafya za kula kitunguu maji

Faida za kiafya za kula kitunguu majiFaida za kitunguu maji (onion)

  1. kitunguu kina virutubisho kama  vitamini C, B9 na B6 pia madini kama potassium
  2. Hulinda afya ya moyo
  3. Hushusha presha ya damu
  4. Hulinda mwili dhidi ya kisukari, saratani na maradhi ya moyo
  5. Husaidia katika kuzuia saratani kusambaa maeneo mengine ya mwili
  6. Husaidia katika kudhibiti kiwango cha sukari kwenye damu na hii ni muhimu hasa kwa watu wenye type2 diabetes
  7. Huboresha afya ya mifupa na kuifanya iwe imara na madhubuti
  8. Huimarisha ulinzi wa mwili dhidi ya maambukizi ya bakteria
  9. Huboresha na kuimarisha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula

                    Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 103


Download our Apps
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-