Faida za kiafya za kula Mayai

Faida za kiafya za kula Mayai

Faida za kiafya za kula Mayai



Faida za kiafya za kula mayai

  1. Mayai yana virutubisho kama vitamini A, B5, B12, B2 B6, D, E na K. pia yai lina madini ya selenium, zinc na calcium
  2. Husaidia katika kuongeza kiwango cha cholesterol zilizo nzuri
  3. Husaidia katika ufanyaji kazi wa ubongo kuwa mzuri pia katika kutengeneza utando wa seli
  4. Mayai huamini ka katika kupunguza hatari ya kupata maradhi ya moyo
  5. Mayai ni chakula kizuri kwa afya ya macho
  6. Mayai yana kiwango kikubwa cha protini iliyo bora kabisa
  7. Pia mayai husaidia katika kupunguza hatari ya kupata kiharusi yaani kupalalaizi
  8. Husaidia pia katika kupunguza uzito.


                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Vyakula Main: Post File: Download PDF Views: 1702

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 web hosting     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉4 kitabu cha Simulizi     👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉6 Dua za Mitume na Manabii    

Post zinazofanana:

Faida za kula nanasi

Somo hili linakwenda kukuletea za kula nanasi na umuhimu wake kiafya

Soma Zaidi...
Fahamu Vitamini E na nz kazi zake, vyakula vya vitamini E na athari za upungufu wake

Katika makala hii nitakwenda kukupa somo linalohusu vitamini E, kazi zake, chanzo chake na madhara ya upungufu wake

Soma Zaidi...
Karanga (groundnuts)

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula karanga

Soma Zaidi...
Faida za kula passion

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula passion

Soma Zaidi...
MATUNDA YENYE VITAMINI C KWA WINGI

Matunda yenye vitamni C kwa wingi ni machungwa, maembe, ndimu na limao, endelea kusoma

Soma Zaidi...