Faida za kiafya za kula Mbegu za mronge

Faida za kiafya za mbegu za mronge (moringa)
- mbegu za mronge zina virutubisho kama vitamini A, B na C. Pia zina madini kama madini ya calcium, chuma na pia kuna fata kama amino acid.
- Husaidia katika kupata usingizi mwororo
- Husaidia katika kuondoa tatizo la kukosa choo
- Husaidia katika kuthibiti kiwango cha sukari kwenye damu
- Ni chanzo kikubwa cha madini ya chuma
- Husaidia katika kuondoa tatizo la kupata maradhi ya anaemia yanayopelekea upungufu wa hewa ya oksijeni mwilini
- Hupunguza maumivu ya viungo
- Husaidia katika kuuwa seli za saratani mwilini.
- Husaidia kuboresha afya ya ngozi
- husaidia kulinda afya ya moyo na mishipa ya damu.
- Husaidia katika kulinda afya ya ini
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 web hosting 👉2 Kitau cha Fiqh 👉3 Bongolite - Game zone - Play free game 👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉5 kitabu cha Simulizi 👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina
Post zinazofanana:
Faida za kiafya za kula tangawizi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za tangawizi
Soma Zaidi...Faida za juice ya tende.
Posti hii inahusu zaidi faida ya juice ya tende,ni juice inayotumiwa na watu wengi sana na wengine wanajua kabisa faida zake na kuna wengine hawajui wanaitumia kama mazoea tu, ila kuna ambao hawajui kabisa basi zifuatazo ni faida za juice ya tende kwa wal
Soma Zaidi...Faida za kitunguu maji/ onion
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu umuhimu wa kitunguu maji mwilini
Soma Zaidi...Vyakula vyenye madini kwa wingi
Somo hili linakwenda kukuletea orodha ya vyakula vyenye madini kwa wingi
Soma Zaidi...Papai lililo iva ni salama kwa mama mjamzito au halifai
Papai ni moja kati ya matunda yenye vitamini C na virutubisho vinginevyo. Lakini papai pia ni moja kati ya vyakula ambavyo mjamzito anatakiwa awe makini navyo.
Soma Zaidi...Faida za kula Nyanya
Nyanya ni katika viungio vya mboga, kuna faida kubwa za kiafya katika nyanya
Soma Zaidi...