Faida za kiafya za kula Nyanya

Faida za kiafya za nyanya
- ni chanzo kizuri cha virutibisho kama protini, sukari, fat na pia nyanya zinatupatia maji
- Pia ni chanzo cha vitamini C, K1 na B9. Pia tunapata madini ya potassium
- Ni nzuri kwa afya ya moyo
- Huzuia kupata saratani
- Ni nzuri kwa fya ya ngozi
- Ni nzuri kwa afya ya macho
- Huzuia tatizo la kukosa choo
- Ni nzuri kwa wenye kisukari
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
Share follows: 0 |
Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉2 Madrasa kiganjani 👉3 kitabu cha Simulizi 👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉5 web hosting 👉6 Kitau cha Fiqh
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉2 Madrasa kiganjani 👉3 kitabu cha Simulizi 👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉5 web hosting 👉6 Kitau cha Fiqh
Post zinazofanana:
vitamini B na makundi yake
Makala hii inakwenda kukuletea kazi za vitamini B, pia tutajwenda kuona makundi ya vitamini B na kazi za kila kundi. Pia makala hii inakwenda kukufundisha vyanzo na vyakula vya vitamini B. Utajifunza pia kazi kuu za vitamini B kw
Soma Zaidi...Vyakula vya kuongeza damu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vya kuongeza damu
Soma Zaidi...Faida za kula karanga mbichi
Post hii inakwenda kukupa faida kuu 5 za kula karanga mbichi katika afya ya mwili wako.
Soma Zaidi...