Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu aina za vyakula vya fati na umuhimu wake mwilini
VYAKULA VYA FATI
1. Karanga
2. Nazi
3. Maziwa
4. Mayai
5. Korosho
6. Palachichi
7. Nyama
8. Samaki
9. Nafaka
Kazi za fati mwilini
1. Kazi kuu ya fati mwilini ni kutupatia joto.
2. Fati pia ni chanzo cha nishati mwilini
3. Utando wa seli umetangenezwa na chembechembe za fati
4. Ubongo umetengenezwa na fati kwa asilimia 60
5. Fati husaidia katika ubebwaji wa vitamini ndani ya mwili
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula viazi mbatata
Soma Zaidi...Kukosa choo aina ya kinyesi ni kutoweza kudhibiti kinyesi, hivyo kusababisha kinyesi kuvuja bila kutarajiwa kutoka kwenye puru. Pia huitwa kutoweza kudhibiti utumbo, Upungufu wa kinyesi hutoka kwa kuvuja mara kwa mara kwa kinyesi huku ukipitisha gesi had
Soma Zaidi...unayopaswa kuyajuwa kuhusu protini na vyakula vya protini, faida zake na hasara zake. Madhara ya kiafya yanayohusiana na protini pamoja na kuyaepuka madhara hayo
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula zaituni/ Olive
Soma Zaidi...