
Faida za kiafya za kula Asali
- Asali ina virutubisho kama sukari, vitamini na madini mbalimbali
- Asali huweza kuupa mwili uwezo wa kujilinda dhidi ya shambulio la moyo, presha,na saratani
- Pia asali huboresha afya ya macho
- Huongeza kiwango cha sukari kwenye damu
- Hushusha presha ya damu
- Huborsha na kuimarisha afya ya moyo
- Ni dawa kwa aliyeungua ama kwa mwenye kidonda ama jeraha
- Ni dawa ya kikohozi kwa watoto