Faida za kiafya za kula Bamia

Faida za kiafya za kula Bamia

Faida za kiafya za kula Bamia



Faida za kiafya za kula bamia

  1. Bamia lina virutubisho kama vitamini C, vitamini K, vitamini A na vitamini B. pia bamia lina protini, fati na madini ya magnesium.
  2. Bamia lina antioxidant ambazo hulinda mwili dhidi ya maradhi
  3. Hupunguza hatari ya kupata maradhi ya moyo
  4. Hulinda mwili dhidi ya maradhi ya saratani
  5. Hushusha kiwango cha sukari kwenye damu
  6. Husaidia kwa wanawake wenye ujauzito na ukuaji wa mtoto


                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Vyakula Main: Post File: Download PDF Views: 2420

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Dua za Mitume na Manabii     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Simulizi za Hadithi Audio     👉4 Kitau cha Fiqh     👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    

Post zinazofanana:

Faida za kiafya za kula zaituni

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula zaituni

Soma Zaidi...
Kazi za tunda la papai katika kurekebisha homoni imbalance

Posti hii inahusu zaidi kazi za tunda la mpapai katika kurekebisha homoni.ni tunda ambalo ufanya kazi yake kwa sababu ya kuwepo kwa virutubisho muhimu ndani ya tunda hili.

Soma Zaidi...
Faida (matunda) ya kusimamisha swala katika jamii

Nguzo za uislamu (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu)

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za stafeli/soursop

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za stafeli ama soursop

Soma Zaidi...
Faida za kula parachichi

Somo hili litakwenda kukueleza na kukuelimisha kuhusu umuhimu wa kula parachichi kiafya

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula passion

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula passion

Soma Zaidi...