Post hii itakwenda kukueleza umuhimu wa limao kiafya
Umuhimu wa limao au ndimu
1. Hupunguza hatari ya kupata ugonjwa wa stroke au kiharusi
2. Hushusha presha ya damu
3. Huzuia kupata saratani
4. Huboresha afya ya ngozi
5. huzuia kupata pumu
6. Husaidia katika ufyonzwaji wa madini ya chuma
7. Huboresha na kuimarisha mfumo wa kinga mwilini
8. Husaidia katika kupunguza uzito
9. Ni chanzo kizuri cha vitamini C
10. Limao Lina virutubisho Kama vitamin C, madini ya chuma, potassium, phosphorus na magnesium
11. Hulinda mwili dhidi ya ugonjwa wa kiseyeye
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowJe umeipenda post hii ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu umuhimu wa kitunguu maji mwilini
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kungumanga/nutmeg
Soma Zaidi...Hapa utajifunza kuhusu kazi za protini mwilini na vyakula vipi vina protini kwa wingi
Soma Zaidi...hivi ndio vyakula vya protini kwa wingi, maziwa, mayai, samaki, dagaa, nyama, maini. Endelea na zaidi
Soma Zaidi...