Faida za kiafya za kula viazi vitamu

Faida za kiafya za kula viazi vitamuFaida za kiafya za kula viazi vitamu

  1. vina virutubisho kama protini, fati, wanga, vitamini C, B5 pia madini ya potasium, shaba na magnesium.
  2. Husaidia kuboresha ufanyaji kazi wa ubongo
  3. Huboresha hedhi
  4. Husaidia katika kupambana na saratani
  5. Husaidia kushusha sukari kwenye damu
  6. Huboresha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
  7. Husaidia mwili kupambana na maambukizi ya mara kwa mara
  8. Husaidia katika kupunguza uzito

                    Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 188


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-