MARADHI MAKUU 13 YANAYOENEZWA NA MBU

Mbu ni mdudu anayeongoza kwa kusababisha vifo vya watu wengi duniani. zaidi ya watu miliono mia mbili wanaathiriwa na maradhi yaletwayo na mbu kila mwaka duniani. Katika makala hii nitakwenda kukuletea maradhi ambayo yanasambazwa na mbu:-

1. VIRUSI VYA ZIKA (ZIKV)
2. HOMA YA DENGUE
3. HOMA YA CHIKUNGUNYA (CHIKV)
4. MALARIA
5. HOMA YA BONDE LA UFA (RVFD)
6. MENGINEYO
7. KWA NINI MBU HAWEZI KUAMBUKIZA HIV