Haya ni maradhi ambayo husambazwa kutoka kwa mtu kwenda kwa mtu kwa kupitia mbu.
Haya ni maradhi ambayo husambazwa kutoka kwa mtu kwenda kwa mtu kwa kupitia mbu. Mbu aina ya Aedes aegypti ndiye ambaye anatuhumiwa kwa kusambaza maradhi haya. Homa hii kwa mara ya kwanza iligundulika mwaka 1952 Tanzania.
Dalili za maradhi haya zinaweza kutokea siku 3 mpaka 7 baada ya kung'atwa na mbu huyu. Dalili za malaria ni sawa na zile za dengue ila utofauti ni kuwa homa hii haipelekei kutokwa na damu. Dalili hizo ni kama homa, maumivu ya viungio, baridi, kutapika na kichefuchefu, maumivu ya mgongo pamoja na miwasho.
Neno 'chikungunya' ni neno la kabila ya kimakonde, kabila linalopatikana kusini mwa Tanzania. Neno hili linamaana ya "kunyumbulisha viungo katika hali isiyo ya kawaida". Nenohili lilimaanisha maumivu ya viungo anayoyapata mgonjwa. bado homa hii pia haina dawa ila zipo dawa za kupunguza athari ya dalili za homa hii.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu presha ya kushuka/ hypotension
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi tatizo la kuwepo kwa asidi nyingi mwilini hali uwasumbua watu wengi na kufikia kiasi cha kusababisha madhara mengine mawilini ikiwamo pamoja na kansa ya koo, ili kujua kama una wingi wa asildi mwilini unapaswa kujua dalili kama ifu
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia sababu zinazopelekea kuumwa na kifua.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa kuharisha, kuharisha ni kitendo Cha kupitisha kinyesi Cha maji chenye damu au kisichokuwa na damu
Soma Zaidi...Hapa utajifunza sababu zinzopelekea mdomo kubadilika ladha na kuwa mchungu, ama mchachu.
Soma Zaidi...Jipu la jino ni mfuko wa usaha unaosababishwa na maambukizi ya bakteria.
Soma Zaidi...Ugonjwa wa kula kupindukia ni ugonjwa mbaya wa ulaji ambapo mara kwa mara unatumia kiasi kikubwa cha chakula na kuhisi huwezi kuacha kula.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula hatari kwa mwenye vidonda vya tumbo
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi Njia za kufanya Ili kupunguza maumivu ya tatizo la uti wa mgongo, ni njia unazopaswa kufanya pale unapokuwa na tatizo la uti wa Mgongo.
Soma Zaidi...