Tofauti na maradhi yaliyotajwa hapo juu pia tafiti za kisayansi zimethibitisha kuwepo kwa maradhi mengine hatari yanayosambazwa na mbu, kama vile ngirimaji pamoja na matende. Karibia watu wengi wanaoishi maeneo yenye joto watakuwa wameshuhudia namna ambavyo ngiri ilivyo. Sambamba na ngiri maji na matende yapo maradhi mengine 8 ambayo huenezwa na mbu. Maradhi hayo ni:-