TAMBUA NAMNA YA KUTOA HUDUMA YA KWANZA WAKATI WA DHARURA AJALI NA HATARI

  1. ALIYESAKAMWA AMA KUPALIWA

  2. ALIYEKAZWA NA MISULI

  3. ALIYEUNGUA NA MOTO

  4. ALIYEZIMAIA

  5. ANAYETOKWA NA DAMU ZA PUA

  6. ALIYEZIDIWA NA JOTO

  7. ALIYEANGUKA KIFAFA

  8. MWENYE KIZUNGUZUNGU

  9. MWENYE KWIKWI

  10. ALIYENG'ATWA NA NYOKA

  11. ALIYEUMWA NA NYUKI

  12. ALIYEPATWA NA PRESHA YA KUPANDA

  13. ALIYEPATWA NA PRESHA YA KUSHUKA

  14. ALIYEPATWA NA SHAMBULIO LA MOYO

  15. ALIYEKUNYWA AMA KUNYWESHWA SUMU