Faida za kiafya za kula Stafeli

Faida za kiafya za kula Stafelifaida za kiafya za stafeli (soursop)

  1. stafeli lina virutubisho kama vitamini A na C. pia lina protini, na madini ya potassium na magnessium.
  2. Husaidia katika kulinda miili yetu dhidi ya kemikali ndani ya mwili
  3. Husaidia katika kuuwa seli za saratani
  4. Husaidia mwili katika kupambana na bakteria
  5. Husaidia mwili dhidi ya kupata vimbe na mashambulizi ya mara kwa mara
  6. Husaidia katika kudhibiti kiwango cha sukari mwilini
  7. Husaidia kwa wenye kisukari


                   Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 129


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-