Faida za kiafya za kula ndizi

Faida za kula ndizi
- ni chanzo kikuu cha vitamini B6
- Pia ni chanzo kizuri cha vitamini C
- Ndizi ni nzuri kwa afya ya ngozi
- Madini ya postassium yaliyopo ndani ya ndizi husaidia kuboresha afya ya moyo na presha ya damu
- Husaidia katika kuboresha na kuimarisha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
- Ndizi humpatia mlaji nguvu
- Ndizi zina virutubisho vingine kama protini, fati na madini
- Huthibiti kiwango cha sukari kwenye damu
- Husaidia katika kupunguza uzito zaidi
- Huondosha sumu za vyakula mwilini
- Husaidia katika kuimarisha afya ya figo
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
Share follows: 0 |
Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Simulizi za Hadithi Audio 👉2 web hosting 👉3 kitabu cha Simulizi 👉4 Bongolite - Game zone - Play free game 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina
👉1 Simulizi za Hadithi Audio 👉2 web hosting 👉3 kitabu cha Simulizi 👉4 Bongolite - Game zone - Play free game 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina
Post zinazofanana:
Faida za kula Tufaha (epo)
Tufaha ni katika matunda adimu na matamu, je unazijuwa faida zake kkiafya?
Soma Zaidi...Faida za kula Tangawizi
tangawizi ni katika viungio vya mboga vyenye faida, pia ni kinywaji, zijuwe leo faida za tangawizi
Soma Zaidi...Aina kuu tatu za vyakula na kazi zake
Posti hii inahusu zaidi Aina kuu tatu za vyakula na kazi zake, hii ni Aina tatu za vyakula na kazi zake jinsi zinavyofanya kazi, hufanya kazi kama ifuatavyo,
Soma Zaidi...Sababu za kuwa na fangasi ukeni
Posti hii inahusu zaidi sababu za kuwa na fangasi ukeni, ni vitu ambavyo usababisha fangasi ukeni kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...