Faida za mchai chai

Posti hii inahusu zaidi faida za mchai chai, ni mmea ambao upandwa na watu kama maua, dawa au kikolezo cha chai na Kuna wengine kabisa wanatumia kama sehemu Mojawapo ya dawa kwa hiyo tutaona faida za mmea huu wa mchai chai.

Faida za mchai chai.

1. Mchai chai usaidia kutibu homa.

Mmea huu utumiwa sana na baadhi ya makabila kwa kutibu homa ambapo majani yake uchumwa na kuoshwa vizuri na kuchemshwa au wengine uroweka kwenye maji ya moto na hatimaye kunywa Kikombe kimoja cha uvugu vugu au wengine wanasubiri unapoa kabisa baadae wanakunywa na homa inashuka kama ilikuwa juuu.

 

2. Pia mchai chai usaidia kutokomeza usingizi uliozidi kipimo, kutokana na mmea huu wanafunzi wengi wanaosoma utumia mmea huu kutumia wakiwa wanaosoma na hawapati usingizi kiurahisi na wanaweza kusoma kwa mda mrefu bila ya kusinzia.

 

3. Pi mmea wa mchai chai usaidia kuondo Sumu mwilini.

Kwa kawaida tunafahamu kuwa miili yetu imebeba Sumu nyingi mno kutokana na aina ya vyakula tunavyokula hasa chemical kwa hiyo kwa matumizi ya mmea huu tunaweza kuondoa Sumu mwilini kiurahisi.

 

4. Vile vile mmea huu wa mchai chai usaidia kwenye mfumo mzima wa umengenyaji wa chakula kwa sababu watu wengi wanaotumia mchai chai kwa wingi ni vigumu kabisa kupata tatizo la choo kuwa kigumu kwa sababu mchai chai usaidia katika umengenyaji wa chakula.

 

5. Kuna ushaidi unaosema kwamba kwa matumizi ya mara Kwa mara ya mchai chai usaidia akina Mama pindi wanapojifungua Ili kuweza kutanua nyonga zao na kawaida huwa wanajifungua vizuri kabisa na bila shida yoyote.

 

6. Pia kwa matumizi ya mmea huu wa mchai chai usaidia kupunguza aina mbalimbali za saratani kama vile saratani ya kizazi, tezi dime na saratani nyingine mbalimbali.

 



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/07/Thursday - 05:54:21 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1391


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-