Faida za kiafya za kula Miwa

Faida za kiafya za kula Miwa



Faida za kiafya za kula muwa (miwa)

  1. husaidia katika kuupa mwili nguvu kwa haraka sana
  2. Husaidia kwa wenye tatizo la kisukari hasa kwa wenye type-1 diabetes
  3. Hulinda mwili dhidi ya saratani
  4. Husaidia katika kulinda afya ya figo
  5. Husaidia katika kuboresha mfumo wa kinga
  6. Hulinda mfumo wa mmeng’enyo wa chakula uwe katika hali salama.
  7. Huboresha afya ya meno na kuzuia kuoza ama kubenduka kwa meno
  8. Huboresha afya ya kucha
  9. Miwa husaidia kuboresha afya ya ngozi.


                   

Download App Yetu

Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.

Download Now Bongoclass

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Vyakula Main: Afya File: Download PDF Views 5564

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh    👉2 Bongolite - Game zone - Play free game    👉3 Kitabu cha Afya    👉4 Madrasa kiganjani    👉5 Simulizi za Hadithi Audio    👉6 kitabu cha Simulizi   

Post zinazofanana:

Vyakula kwa wenye matatizo ya macho

Posti hii inahusu zaidi vyakula ambavyo wanapaswa kutumia watu wenye matatizo ya macho,ni vyakula ambavyo uhimalisha mishipa na sehemu nyingine za jicho na kufanya jicho lisiwe na matatizo kwa sababu tunajua wazi kuwa vyakula ni dawa.

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula ukwaju

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ukwaju

Soma Zaidi...
Faida za kula Karoti

Umeshawahi kula karoti mbichi, ama ya kupikwa, je unazijuwa faida zake? soma makala hii

Soma Zaidi...
Faida za kula fyulisi/peach

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula fyulisi/ peach

Soma Zaidi...
Vyakula salama kwa mwenye kisukari

Somo hili linakwenda kukuletea orodha ya vyakula salama kwa mwenye kisukari

Soma Zaidi...
Faida za kula Zaituni

Matunda ya zamani, matunda ya asili, Zaituni tunda lipendezalo, zijuwe faida zake leo

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula fyulisi/ peach

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula fyulisi/peach

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula mahindi

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula mahindi

Soma Zaidi...
Faida za kula Chungwa

Je unazijuwa faida za kula chungwa kiafya? soma makala hii hadi mwisho

Soma Zaidi...