Faida za kiafya za kula Fyulisi

Faida za kiafya za kula fyulisi (peach)
- lina virutubisho kama vitamini C, A na E. pia madini ya potassium, shaba, manganese na phosphorus.
- Huimarisha afya ya mifupa na meno
- Huimarisha mfumo wa kinga
- Kupunguza kazi ya kuzeheka
- Hulinda mfumo wa fahamu na neva
- Huboresha afya ya macho
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
Share follows: 0 |
Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh 👉2 Kitabu cha Afya 👉3 Simulizi za Hadithi Audio 👉4 Dua za Mitume na Manabii 👉5 Bongolite - Game zone - Play free game 👉6 ai web app
👉1 Kitau cha Fiqh 👉2 Kitabu cha Afya 👉3 Simulizi za Hadithi Audio 👉4 Dua za Mitume na Manabii 👉5 Bongolite - Game zone - Play free game 👉6 ai web app
Post zinazofanana:
Kazi kuu tatu za Vitamini C mwilini
Vitamini C tunaweza kuvipata kwenye matuinda kama machunwa vina kazi kuu tatu ambazo ni hizi hapa
Soma Zaidi...Vyakula vinavyoondoa sumu mwilini
Katika somo hili tutajifunza Mifumo ya mwili inayotoa sumu. Ushahidi wa kitaaluma kuhusu nafasi ya matunda na mboga kwenye detox. Aina za matunda na mboga zenye ufanisi. Kanuni za matumizi salama.
Soma Zaidi...Faida za kiafya za kula ukwaju
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ukwaju
Soma Zaidi...