Somo hili linakwenda kukuletea faida za kiafya za kula karanga
Faida za karanga
1.karanga Ina virutubisho Kama fati protini vitamin B1 B2 B6. Madini ya calsium, phosphorus, magnesium na sodium
2. Husaidia katika kudhibiti sukari
3. Husaidia Kuzuia saratani
4. Husaidia katika kutunza kumbukumbu na kuboresha afya ya ubongo
5. Huzuia unyonyokaji na ukatikaji wa nywele
6. Husaidia katika kupunguza uzito
7. Husaidia katika ukuaji mzuri wa watoto
8. Huboresha afya ya ngozi
9. Ni nzuri kwa afya ya moyo
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula maboga
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi virutubisho vya mwili, ni aina tano za vyakula ambayo ufanya kazi mbalimbali kwenye sehemu za mwili wa binadamu.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vya kupambana na saratani
Soma Zaidi...