Je ulaji wa boga unafaa kwa mgonjwa wa kisukari?

Je ulaji wa boga unafaa kwa mgonjwa wa kisukari?

Je ulaji wa boga unafaa kwa mgonjwa wa kisukari?

Je ulaji wa boga unafaa kwa mgonjwa wa kisukari?



Namba ya swali 045

Yes boga husaidia kwa mgonjwa wa kisukari Soma makala hii kujuwa zaidi https://bongoclass.com/matunda/bong.html



Namba ya swali 045

Ugari wa mhogo ulio lowekwa in unafaa kwa mgonjwa wa sukari.



Namba ya swali 045

Ndio unafaha



Namba ya swali 045

Je mahindi yaliyo kobolewa nakulowekwa kwenyemaji kwasiku tatu ugari wake unafaa kwa mngojwa wasukari.



Namba ya swali 045

Hakuna shida



Namba ya swali 045

Mtu mwenye sukari anashauriwa kula chakula kidogo km ugari ,Michele,ndizi Je? na maboga ale kidogo?



Namba ya swali 045

Yes unaweza kula maboga,



Namba ya swali 045

Tikti maji kwa mtu mwenye sukari anashauriwa ale.kiasigani?



Namba ya swali 045

Ni ngumu sana kukueleza kiasi ila anatakiwa ale kwa kiasi kidogi



Namba ya swali 045

Mtu mwenye sukari yakushuka anaweza kutumia alovera ama shubiri



Namba ya swali 045

Swala la alovera bado lina utata ila kuna tafiti ilifanyika inaonyeshabkuwa Alovera inaweza kushusha sukari



Namba ya swali 045
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Vyakula Main: Afya File: Download PDF Views 2200

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya    👉2 Bongolite - Game zone - Play free game    👉3 Madrasa kiganjani    👉4 Simulizi za Hadithi Audio    👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉6 Kitau cha Fiqh   

Post zinazofanana:

Faida za kiafya za kula bamia

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula bamia

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za spinachi

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula spinach

Soma Zaidi...
Faida za kula Faida za kula Boga

Makala hii inakwenda kukueleza faida za kula maboga, na mbegu zake kwa afya yako

Soma Zaidi...
Fahamu Vitamini E na nz kazi zake, vyakula vya vitamini E na athari za upungufu wake

Katika makala hii nitakwenda kukupa somo linalohusu vitamini E, kazi zake, chanzo chake na madhara ya upungufu wake

Soma Zaidi...
Faida za kunywa maziwa

Somo hili linakwenda kukuletea faida za kunywa maziwa kiafya

Soma Zaidi...
VYANZO VYA VYAKULA VYA VITAMINI NA FAIDA ZAKE

Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote

Soma Zaidi...