Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula zaituni/ Olive
Zaituni (olive).
Ni katika matunda yaliyojulikana toka zama za zamani sana. Tunda hili lina kiwango kikubwa cha cha vitamini E na madini ya copper na calcium. Pia tafiti za kisayansi zinaonesha kuwa tunda hili lina antioxidantan ambayo husaidia katika kuimarisha afya ya moyo na ini na pia husasidia katika kuzuia uvimbe.
Pia tafiti zinaonesha kuwa mafuta ya zaituni yana oleic acid yaani asidi ya oleik ambayo husaidia katika kuimarisha afya ya moyo pamojha na kuzuia kupata saratani. Pia tafiti zinaonesha kuwa tunda hili lina chembechembe ambayo husaidia katika kupunguza uwezekano wa kupata ugonjwa wa osteoporosis. Huu i ugonjwa wa unaowapata sana wazee, na huathiri mifupa na kuifanya dhaifu
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula papai
Soma Zaidi...Zijuwe sababu za upungufu wa damu, dalili za upungufu wa damu na kazi za damu mwilini,n avyakula vya kuongeza damu
Soma Zaidi...hapa Tutakwenda kuona Vyakula Vya vitamini B, kazi za Vitamini B na dalili za Upungufu wa Vitamini B mwilini
Soma Zaidi...Post hii itakwenda kukufundisha faida za kiafya za kula asali
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu athari za kula vitamini C kupitiliza
Soma Zaidi...