Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
4.VYAKULA VYA MADINI
Mwili unahitaji vyakula hivi ili uwezesj\he matumizi ya vyakula vingine yawe mazuri tunahitaji viyamini kwa
kuulinda mwili dhidi ya magonkwa. Mwili unahitaji madini pia ili uweze kujikinga na hatari zingine. Madini
ya chuma ni muhimu katika kujenga seli nyekundu za damu.madini ya calcium ni muhimu kwa afya ya mifupa na
meno Madini na vitamin hpatikana zaidi kwenye mboga za majani, na matunda.
1.Madini ya sodium (table salt) Madini haya unaweza kuyapata kwenye spinach, maharage,punje za maboga n.k.
2.Madini ya chuma. Haya hupatikana kwenye maini, nyama, maharage, na mboga za majani. Madini haya ni
muhimu kwa utengenezwaji wa hemoglobin yaani chembechembe nyekundu za damu.
3.Madini ya kashiam(calcium). Haya hupatikana kwenye maziwa,maini, mboga za majani na cheese. Madini
haya husaidia katika uimarishwaji wa mifupa, meno, misuli na utengenezwaji wa neva. Husaidia piaa kuwezesha
kuganda kwa damu kwenye majeraha. Husaidia katika mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kwa kuzifanya enzymes kuwa
active.
4.Madini ya phosphorus, haya hupatikana kwenye nyama, maziwa, samaki, na mayai. Husaidia katika
uimarishwaji wa mifupa, meno,misuli na shughuli za mfumo wa fahamu na utengenezwajiwa genetic materials.
6.Madini ya Potashiam (potassium) Hupatikana kwenye ndizi, machungwa,nyama na kaa. husaidia katika
kurekebisha kiwango cha majimaji mwilini.
7.Madini yakopa ( copper) Haya hupatikana kwenye nyama, samaki, na maini.husaidia katika mifupa na
utengenezwaji wa hemoglobin (chembechembe nyekundu za damu).
8.Madini yamanganese Madini haya hupatikana kwenye figo,maini, chai na kahawa. Husaidia katika
utengenezwaji wa mifupa, na katika mmeng'enyo wa chakula kwa kufanya enzymes ziwe active.
9.Madini ya iodine Madini haya hupatikana kwenye chumvi na vyakula vya baharini kama samaki.
Husaidia katika uzalishaji wa homoni ya thyroid.
Umeionaje Makala hii.. ?
Somo hili litakwenda kukueleza na kukuelimisha kuhusu umuhimu wa kula parachichi kiafya
Soma Zaidi...hapa Tutakwenda kuona Vyakula Vya vitamini B, kazi za Vitamini B na dalili za Upungufu wa Vitamini B mwilini
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi faida za mchai chai, ni mmea ambao upandwa na watu kama maua, dawa au kikolezo cha chai na Kuna wengine kabisa wanatumia kama sehemu Mojawapo ya dawa kwa hiyo tutaona faida za mmea huu wa mchai chai.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kitunguu thaumu
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula fenesi
Soma Zaidi...Kitunguu thaumu ni katika viungo vya mboga na chakula.
Soma Zaidi...Hizi ni aina za vyakula ambavyo husaidia katika kuongeza damu kwa wajawazito na watoto.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kitunguu maji
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi virutubisho vya mwili, ni aina tano za vyakula ambayo ufanya kazi mbalimbali kwenye sehemu za mwili wa binadamu.
Soma Zaidi...