Post hii inahusu zaidi tiba ya lishe ya ugonjwa wa kisukari ni tiba ambayo utumiwa sana na wagonjwa wa kisukari na walio wengi na wamefanikiwa kupona
1. Tumia tunda moja la passion.
chukua tunda moja la passion na unaliosha vizuri kabisa na kuhakikisha kubwa ni safi.
2. Chukua mbegu za ubuyu kiganja kimoja na hakikisha ni safi.
3. Chukua maji safi na salama.
4. Andaa vifaa vyako kwa ajili ya kutengeneza.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Kukosa choo aina ya kinyesi ni kutoweza kudhibiti kinyesi, hivyo kusababisha kinyesi kuvuja bila kutarajiwa kutoka kwenye puru. Pia huitwa kutoweza kudhibiti utumbo, Upungufu wa kinyesi hutoka kwa kuvuja mara kwa mara kwa kinyesi huku ukipitisha gesi had
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula passion
Soma Zaidi...Posti hii inakwendavkukufundisha madhara unayoweza kuyapata unapokula chakula cgenye chumvi nyingi
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi faida mbalimbali ambazo anaweza kuzipata mtu anayetumia kachumbari, tunajua wazi kwamba kachumbari ni mchanganyiko wa nyanya, vitunguu maji,kabichi,na pilipili kidogo.
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukufundisha utaratibu wa lishe kwa wagonjwa wenye kisukari pamoja na vyakula salamakwao.
Soma Zaidi...