Faida za kiafya za kula Nanasi

Faida za kiafya za kula Nanasi



Faida za kula nanasi

  1. Nanasi lin virutubisho kama fati, protini, vitamini C, vitamini B6, madini ya chuma, manganeseum na shaba.
  2. Hupunguza misongo ya mawazo (stress)
  3. Nanasi ni rahisi kumeng’enywa tumboni
  4. Hupunguza hatari ya ugonjwa wa saratani
  5. Huboresha na kuimarisha mfumo wa kinga mwilini
  6. Hupunguza maumivu ya viungio
  7. Husaidia kupona haraka baada ya kufanyiwa upasuaji
  8. Ni tunda tamu


                   

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Vyakula Main: Afya File: Download PDF Views 1359

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game    👉2 Dua za Mitume na Manabii    👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉4 Simulizi za Hadithi Audio    👉5 Kitau cha Fiqh    👉6 Madrasa kiganjani   

Post zinazofanana:

Madhara ya upungufu wa protini mwilini

Madhara ya upungufu wa protini ni mengi kiafya. Miongoni mwa madhara hayo ni..

Soma Zaidi...
Vyakula hatari kwa mjamzito hasa mimba changa

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vya hatari kwa mjamzito hasa mimba changa

Soma Zaidi...
FAIDA ZA KULA ZABIBU

Somo hili litakwenda kukueleza kuhusu faida za kula zabibu na umuhimu wake kiafya

Soma Zaidi...
Faida za tangawizi

Somo Hili linakwenda kukuletea faida za tangawizi

Soma Zaidi...
Faida za kula kunde, maharage, njegere, mbaazi na njugu mawe

Somo hili linakwenda kukuletea faida za kiafya za kula kunde, maharage, njegere, mbaazi na njugu mawe

Soma Zaidi...
Fahamu vitamini A na kazi zake, vyakula vya vitamini A na athari za upungufu wake

Vitamini A ni katika vitamini fat soluble vitamin akama vile retinol, retinal, retinoic acid na beta-carotene.

Soma Zaidi...
Faida za kula stafeli/soursop

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za stafel/soursop

Soma Zaidi...