Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula karanga
. faida za kiafya za kula karanga
1. karanga zina virutubisho kama protini, fati, vitamini B1, B2, B6, madini ya calcium, phosphorus, magnesium na sodium
2. Husaidia katika kudhibiti kisukari
3. Husaidia kuzuia saratani
4. Husaidia katika kutunza kumbukumbu na kuboresha afya ya ubongo
5. Huzuia unyonyokaji ama ukatikaji wa nywele
6. Husaidia katika kupunguza uzito
7. Husaidia katika ukuaji mzuri wa watoto
8. Huboresha afya ya ngozi
9. Ni nzuri kwa afya ya moyo
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo baada ya kula
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea matunda yenye vitamin C kwa wingi
Soma Zaidi...Vitamini C kwa wingi hupatikana kwenye machungwa, maembe, mananasi, limao na ndimu
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vya kuoambana na mafua
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula bamia
Soma Zaidi...Tangaizi ni katika mimea yenye asili na bara la asia hususan nchi ya China.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula maboga
Soma Zaidi...