Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula uyoga
Faida za uyoga
1. Uyoga una virutubisho Kama protini, wanga, sukari, fati, madini ya chuma na calcium pia uyoga una maji kwa kiasi kikubwa na vitamin D
2. Hupunguza athari za ugonjwa wa saratani
3. Hushusha cholesterol mbaya mwilini
4. Huzuia kupata kisukari
5. Huboresha afya ya mifupa
6. Husaidia katika ufyonzwaji wa madini ya chuma na calcium kwenye vyakula
7. Huimarisha mfumo wa kinga
8. Hushusha kiwango cha sukari mwilini
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula tunda pera
Soma Zaidi...Post hii itakufundisha kwa ufupi vyakula vya kuviepuka kama una presha ya kupanda.
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukupa faida kuu 5 za kula karanga mbichi katika afya ya mwili wako.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula spinach
Soma Zaidi...