Faida za kiafya za kula Mahindi

Faida za kiafya za kula Mahindifaida za kiafya za kula mahindi

  1. mahindi yana virutubisho kama protini, wanga, madini ya chuma, vitamini B1, B5, B12, na vitamini C
  2. Husaidia katika utengenezwaji wa seli hai nyekundu za damu
  3. Husaidia katika kupunguza uwezekano wa kupata maradhi ya anaemia
  4. Ni chakula kinachoipa miili yetu nguvu
  5. Husaidia katia kuongeza uzito
  6. Husaidia katika kushusha kiwango cha sukari kwenye damu
  7. Husaidia kwa afya ya mama mjamzito na mtoto aliyepo tumboni, pia husaidia katika kujifungua salama
  8. Husaidia katika kuboresha afya ya ngozi


                   Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 721


Download our Apps
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-