Faida za kiafya za kula Kisamvu

Faida za kiafya za kula Kisamvu



Faida za kiafya za kula kisamvu

  1. kisamvu ni kizuri kwa wanawake wajawazito kwani kina vitamini C vingi
  2. Husaidia kupambana na kwashoorkor (kwashiakoo) aina ya utapiamlo
  3. Majani ya kisamvu yakipondwa husaidia kuondosha homa na maumivu ya kichwa
  4. Hutibu kuhara unasanga majani
  5. Hutibu tatizo la macho kutokuona vyema unachemsha majani ya kisamvu pamoja na tangawizi na chumvi
  6. Huongeza hamu ya kual chemsha kisamvu, tangawizi na chumvi kisha kunywa
  7. Hutibu minyoo
  8. Husaidia kuchelewa kuzeheka
  9. Hutibu stroke
  10. Huongeza stamina
  11. Husaidia katika kupona kwa vidonda na majeraha kwa haraka
  12. Huboresha mfumo wa kinga


                   

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Vyakula Main: Afya File: Download PDF Views 2960

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani    👉2 Kitabu cha Afya    👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉4 kitabu cha Simulizi    👉5 Bongolite - Game zone - Play free game    👉6 Simulizi za Hadithi Audio   

Post zinazofanana:

Faida za kula Ukwaju

Zitambue faida kubwa za kula karanga kwa ajili ya afya yako

Soma Zaidi...
Aina kuu tatu za vyakula na kazi zake

Posti hii inahusu zaidi Aina kuu tatu za vyakula na kazi zake, hii ni Aina tatu za vyakula na kazi zake jinsi zinavyofanya kazi, hufanya kazi kama ifuatavyo,

Soma Zaidi...
Faida za tangawizi

Somo Hili linakwenda kukuletea faida za tangawizi

Soma Zaidi...
Ukosefu wa madini ya Shaba mwilini

Posti hii inahusu zaidi Ukosefu wa madini ya Shaba mwilini, ni Ukosefu wa madini ya Shaba mwilini ambao usababisha madhara kama ifuatavyo.

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula kungumanga/nutmeg

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kungumanga/nutmeg

Soma Zaidi...
Vyakula vya protini

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya protini

Soma Zaidi...